jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,232
- 2,884
Nilikata rufaa na nimepata
Ukipenda boga....Nilipo ingia chuoni kwa Mara ya kwanza nilukutana na mrembo mmoja mwenye asili ya kiarabu, mwenye rangi nzuri ambayo haina hata chembe ya kitu kinaitwa cream,
Sikutaka kukaa kimya na hisia zangu maana chuoni kuna watu wengi na wengi wanamtamani Yule kisura wangu. Nikaamua kumfungukia jinsi gani nimezimika kwake, alikubali kuwa nami ila akawa analalamika kuumwa karibu kila siku na haji chuoni kuudhuria vipindi, aliendelea hivyo hvyo mpaka siku moja nilipo mbana aniambie ukweli anatatizo gani ndipo alipo nambia ana mimba ya mwezi mmoja . Ambayo bila shaka ametoka nayo huko aliko toka .
Najiuliza kwanini alikubali kuwa na mimi na akijua ana mimba ya mtu mwingine ??
Lipi lilikuwa lengo lake haswaaa???
Ningeli jua hili kuwa nimjauzito wala nisinge zama kwenye penzi lake .
Hongera kwa kutunza kumbukumbu
mbona hukuturudishia mrejesho?Nilikata rufaa na nimepata
Nimevumilia hilo kwa muda mrefu sanaachana na mapenzi chuoni soma kwanza upate pesa utakula vinono
Upende na ua lake ,,,,lakn si kiivyo mkuuUkipenda boga....
bado hujapata pesa achana na mapenziNimevumilia hilo kwa muda mrefu sana
Kumbe tatizo pesa tuu,,,,, nadhani mapenzi kitakuwa kichocheo kikubwa kuitafuta hiyo pesabado hujapata pesa achana na mapenzi
hapana pesa ni kichecheo kikubwa kupata penzi .. ukigeuza tu umefeliKumbe tatizo pesa tuu,,,,, nadhani mapenzi kitakuwa kichocheo kikubwa kuitafuta hiyo pesa
Okay miss chagga.....hapana pesa ni kichecheo kikubwa kupata penzi .. ukigeuza tu umefeli
PoaDogo piga buku kwanza
Yule jamaa yako anazo ngawira za kutosha mkuu?hapana pesa ni kichecheo kikubwa kupata penzi .. ukigeuza tu umefeli
Zipo nyingi sanaYule jamaa yako anazo ngawira za kutosha mkuu?
Mimi ni hohehahe sina ngawira ila namshukuru mungu kuna wadada huwa wananioneaga huruma na kunipa siku moja moja mahaba ya hapa na pale!....mungu awaongezee mara saba sabini kwa kweli!Zipo nyingi sana