jakarason1974
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 103
- 50
Yeye ni Waziri wa mambo ya ndani na ni mjumbe wa kamati ya Ushauri ya ku deal na madawa ya kulevya... Sheria ya mwaka 2015Kwani majukumu yake ni ni ni mkuu juzi hapa si kasima vita ya kupambana na hao wauza madawa ni vita ya kujitoa rizki??
Ngoja wanaomjua waje wakujuzePaul makonda ndio nani?
Kuja hawezi tena akiamua mfano wa mexico anamtafuta mkeo anammega kwanza afu ndo anasepaVita ya drugs inafanyika kimya kimya na kisayansi sio kwenye media unasikia tu kingpin wa drugs ametiwa mbaroni au ameuawa kwenye crossfire sasa kingpin wa ukweli wa drugs utamuita ijumaa atakuja??
Ang'atuke kwa sababu ipi? Amemwachia 'waziri wa mambo ya jikoni' afanye yake, Mwigulu hawezi kukurupuka kushindana na RAYMOND ( nitoke vipi) wakati anatekeleza majukumu yake kwa ufasaha.Kama kweli Waziri wa mambo ya ndani ana elewa majukumu yake na umekaa kimya na mambo yanayoendeshwa na RC basi hakika haujui majukumu yako... Na kama ingekuwa mimi ndio Waziri wa mambo ya ndani hakika ningeng'atuka uwaziri.... huu ni udhalilishaji wa nafasi yako ya uwaziri na elimu yako ya first class