Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
Kila verse ningemchana King'asti kwa vile hayupo fair,
uki'PM anajibu PAW is waiting there,
maskini nakonda na kidonda kwa vile una pair, Husninyo chukua password usilete drama kama Thea, lady furahia,nakuombea,but penzi inajongea, Mamndenyi mi pastor subiri maombezi here Bishanga nakupora wapenzi wote nakupotezea Mtambuzi utakuwa mshenga
usizingue mkwe wako usije ukammega
Namwona Arushaone mbela anajonegea Erickb52 anajifana haoni kinachoendelea Kipipi pipi cha jiti anapuuzia Katavi kuwa makini na mashamba ya katani,usilete utani, watu8 hiii saa nane,hujalala wewe,au unatafuta mawe? Lady passion nasuuzika ila sitaki kuhemea Judgment kama umeudhika tutasahemeana
>N.B commment kwa vina tu.
Ningekupenda ila hauna care,najua haupo fair,ongea wanaokupenda watakutetea

Last edited by a moderator: