Ningekuwa Mimi

Mawazo finyu na duni sana. Katiba ya mwaka 1977 inatungenezea majizi na majambazi yaliyo madarakani
Ukweli ndiyo huo yoyote yule lazima ajilimbikizie mali, una mfuko ambao matumizi yake hayakaguliwi na CAG kwa nini nisijilmbizie mali...

Hakuna wa kukuhoji wala kukushtaki hata ukistaafu... Aisee tumbo langu kwanza..
 
Akili zako yani watu wako hawana choo wala uhakikia wa chakula,hospitali watu wanakufa kama nzi upoteze hela kwenye sayansi ya anga au sio??
 
Leo Genius wetu sijamsikia yuko wapi au ndo aliyosema imhotep yametokea😁😁
🀣🀣🀣🀣
Inawezekana maana kuna uzi mmoja alijitokeza member ambae anamfahamu, wakaongea kidogo vile ambavyo waliishi shule, huyo member alimshanga Mr president kwanini yupo kwenye hali ile.
Pengine ni kweli hayo ya Imhopet.
 
🀣🀣🀣🀣
Inawezekana maana kuna uzi mmoja alijitokeza member ambae anamfahamu, wakaongea kidogo vile ambavyo waliishi shule, huyo member alimshanga Mr president kwanini yupo kwenye hali ile.
Pengine ni kweli hayo ya Imhopet.
Kama wamemuwahi itasaidia sana maana mambo ni magumu. Deogratias Kisandu wetu alianza hivi hivi tunamuona anabadilisha majina tukadhani utani. Tungemuwahi asingefika huko alikofika!

 
Kama wamemuwahi itasaidia sana maana mambo ni magumu. Deogratias Kisandu wetu alianza hivi hivi tunamuona anabadilisha majina tukadhani utani. Tungemuwahi asingefika huko alikofika!

View attachment 3327991
Duh, huyu Kisandu sikuwahi kumjua kabla nimemjua juzi baada ya kuibuka bwana Dennis, ngoja nione kama bwana Dennis mwenyewe kaandika chochote leo.
 
 
1.Gas supply majumbani wananchi walipie kama LUKU na kutumia na sio mitungi kila siku!!mabomba yatapitishwa Kila nyumba ili iwe rahisi!

2.Uzalishaji wa mazao na usindikaji was mazao ya kutosha kupitia viwanda,jeshi la magereza na jkt kuwa production zone kupitia mashamba ya seriakli,hii itasaidia mfumuko wa bei na kuongeza fedha za kigeni Kwa kuuza mazao nje ya nchi!

3.Ajira za mikataba ya miaka mitano Hadi kumi performance based contracts,ajira za maisha zinatuletea irresponsibilities kwenue sector za umma pia mishahara itaboreshwa!!

4.Hakuna failures wata dahiliwa kuingia jeshini hata jeshi la polisi walau wenye diploma,degree na kuendelea,itasaidia sana usalama na utulivu wa raia was nchi yetu!!

5. Nateua Binge la katiba mpya hasa Ile rasimu ya warioba ni muhim sana ikamilike kuwa katiba mpya,mambo ya usalama yatakua ya usalama hakuna siasa!!

Hayo ni machache mengine nitasaidiwa na wenye Nia njema ya kulijenga taifa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…