Ningekuwa mimi ndio Lowassa

Ningekuwa mimi ndio Lowassa

Huyo rais anayepeleka majungu mazabauni , atajibiwa mazabauni .
Naona umezidiwa na upofu wa Uchadema,kwako wewe hakuna jema lifanywalo na serikali au raisi wetu lakini baado unaenjoy mema yafanywayo na serikali na raisi huyohuyo .Mnajifanya nyie''ndio mnajua kila kitu'' wakati hakuna mnchojua zaidi ya kelele za debe tupu,nadhani umesahau kwamba jamaa yenu alikuwa anashinda makanisani na misikitini akipiga ''siasa'' lakini kwa kuwa kumbukumbu zenu zimetawaliwa na Uchadema basi mnajifanya wasahaulifu,na ndio maana kamwe hamtaweza kutawala nchi hii kwa unafiki wenu.Mungu hawapendi wanafiki.
 
Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:

"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"

Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.

Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Hata akifanya hayo hawezi kutoka tena Kisiasa!! ENL is politically finished!!
 
Unamshauri atembelee nyota ya mwenzie!! Hiyo ni type ya siasa za chadema ambazo EL hazitaki!! Ni siasa za kitoto sana..

Muwe mnashauri chama kiwe na strategy siyo siasa kama ya wanafunzi wa chuo

Hazitaki siasa za cdm? Alifuata nini cdm? Hizo siasa za cdm unazoita za kitoto ndio zilifanya ccm ikamtosa Lowassa na kwa bahati mbaya ndio mkuu akaikwaa hiyo nafasi vinginevyo leo maembe ndio angekuwa rais wako. Siasa hizo za cdm ndio ndio zilisababisha serekali ya ccm kujaza magari ya kijeshi wakati wa uchaguzi ili kuwasaidia wakati wa kuchakachua kura. Na ukipenda kujua cdm fuatilia vizuri kila mkuu anapohutubia lazima aitaje cdm, au umesahau ilibidi mpaka aige ile swaga ya M4C. Siasa za domo zege sio za cdm na ngoja muda kidogo huko cdm atabadilikiwa ama watatafuta chama kingine.
 
Ila we jamaa ni mjinga, hivi hayo maswali akiuliza huoni kama yatamrudia Lowassa mwenyewe?

Kila kitu atakachoongea Lowassa sasa hivi ataulizwa ulikuwa wapi miaka yote upo serikalini.
 
Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:

"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"

Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.

Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
kuelekeza ni rahisi sana.ungejua kuwa watu wanafutiwa hati zao za mapori kwa kushindwa kuyaendeleza,ungewaonea huruma.
Chadema sio chama cha kutegemewa tena chini ya viongozi hawa,wasanii na wafanya biashara
 
Naona umezidiwa na upofu wa Uchadema,kwako wewe hakuna jema lifanywalo na serikali au raisi wetu lakini baado unaenjoy mema yafanywayo na serikali na raisi huyohuyo .Mnajifanya nyie''ndio mnajua kila kitu'' wakati hakuna mnchojua zaidi ya kelele za debe tupu,nadhani umesahau kwamba jamaa yenu alikuwa anashinda makanisani na misikitini akipiga ''siasa'' lakini kwa kuwa kumbukumbu zenu zimetawaliwa na Uchadema basi mnajifanya wasahaulifu,na ndio maana kamwe hamtaweza kutawala nchi hii kwa unafiki wenu.Mungu hawapendi wanafiki.

Hizo tabia za kushinda madhabahuni ni za kiccm, fuatilia hiyo michezo aliifanya akiwa wapi? Cdm siasa zao ni majukwaani na mabarabarani. Kwa taarifa yako huyo Lowassa ndio kete ya ccm kutambia, kinyume na hapo mchakamchaka wa cdm original Magu angeomba maji ya kunywa.
 
Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:

"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"

Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.

Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Haya Makubwa sasa, yaani unatamani uwe Lowassa ? Sasa ukisha kuwa Lowasa yeye awe nani??? Au Lowassa nae awe Lipumba.
 
Lowasa yupi huyu bubu asiyejitambua akiwa jukwaani anayeutaka urais Utafikiri aliambiwa akiwa rais basi Kawa mungu....
 
Back
Top Bottom