Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.