Ningekuwa CAG ningewawahi kabla hawajaniwahi

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,547
Reaction score
139,880
Viongozi wa USA ni mfano mzuri sana katika kuchukua hatua pale unapoona huendani na misimamo ya Rais. Wengi tu kule USA walishachukua hamsini sana kiroho safi baada ya kumuona Donald Trump anazingua.

Wamefanya hivyo kina John Kelly, Ryan Zinke, James Mattis nk

Hali ni tofauti sana kwa Africa. Sisi unafiki tunauweza.

Kwa hapa Bongo CAG kajitoa muhanga japo ni kwenye jambo ambalo lipo wazi sana kila mtu anajua bunge halipo huru.

Ukiangalia ghazabu aliyokuja nayo Spika ni wazi kuwa watu hawa hawawezi tena kufanya kazi kama kitu kimoja. Wameshazinguana. Chukulia pia taarifa ya Zitto Kabwe kwamba Spika ameziambia kamati zisifanye kazi na CAG wala wasaidizi wake.

Sasa kuna nini hapo......
Ingekuwa mimi ndiyo Prof. Assad nakuachia tu kibarua chako. Kwani nini bwana
 
Kutofautiana kazini kwa maslahi ya taifa ni kawaida.Jiwe na Ndugai siyo wa kuwaacha wafanye watakavyo lazima kuwe na mtu wa kuwaambia ukweli bila uwoga.

Nipo na CAG
Viongozi wa USA ni mfano mzuri sana katika kuchukua hatua pale unapoona huendani na misimamo ya Rais. Wengi tu kule USA walishachukua hamsini sana kiroho safi baada ya kumuona Donald Trump anazingua.

Hali ni tofauti sana kwa Africa. Sisi unafiki tunauweza.

Kwa hapa Bongo CAG kajitoa muhanga japo ni kwenye jambo ambalo lipo wazi sana kila mtu anajua bunge halipo huru.

Ukiangalia ghazabu aliyokuja nayo Spika ni wazi kuwa watu hawa hawawezi tena kufanya kazi kama kitu kimoja. Wameshazinguana. Chukulia pia taarifa ya Zitto Kabwe kwamba Spika ameziambia kamati zisifanye kazi na CAG wala wasaidizi wake.

Sasa kuna nini hapo......
Ingekuwa mimi ndiyo Prof. Assad nakuachia tu kibarua chako. Kwani nini bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana haja ya kujiwahi, kutoa taarifa za kwamba kuna ubadhilifu serikalini wala siyo kosa na siyo tatizo kwa nafasi aliyokua nayo kama CAG...

Cc: mahondaw
 
Kuanzia sasa CAG akimaliza ukaguzi wake kwa idara zote za serikali aite wandishi wa habari aisome ili wananchi tujue maana hata akipeleka bungeni hakuna wanacho fanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wito wangu,CAG usiache kazi. Don't set a bad precedent....yaani ukisimamia maadili ya profession yako na kusema ukweli na kufanya kazi kwa bidii basi wewe haufai inakubidi kujiuzulu! Sio sawa,taifa zima hatuwezi kuwa watu wapumbavu na wanafiki, kusifia sifia ujinga huku taasisi muhimu zikivurugwa ili zipoteze nguvu na uimara. Kama unataka kuwa mfalme usiohojiwa chochote, ondoka katengeneze nchi yako, usituchefue na ushamba wako hapa.
 
Siasa ni kama familia zilizochanganyika kutofautiana lazima pamoja na kuwa kunataratibu mliwekaana. hamuwezi kuwa na akili za kufanana wote kuna wakati kila mtu anawaza yake kichwani sio hivo malumbano lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa USA ni mfano mzuri sana katika kuchukua hatua pale unapoona huendani na misimamo ya Rais. Wengi tu kule USA walishachukua hamsini sana kiroho safi baada ya kumuona Donald Trump anazingua.

Wamefanya hivyo kina John Kelly, Ryan Zinke, James Mattis nk

Hali ni tofauti sana kwa Africa. Sisi unafiki tunauweza.

Kwa hapa Bongo CAG kajitoa muhanga japo ni kwenye jambo ambalo lipo wazi sana kila mtu anajua bunge halipo huru.

Ukiangalia ghazabu aliyokuja nayo Spika ni wazi kuwa watu hawa hawawezi tena kufanya kazi kama kitu kimoja. Wameshazinguana. Chukulia pia taarifa ya Zitto Kabwe kwamba Spika ameziambia kamati zisifanye kazi na CAG wala wasaidizi wake.

Sasa kuna nini hapo......
Ingekuwa mimi ndiyo Prof. Assad nakuachia tu kibarua chako. Kwani nini bwana
Lengo la Ndugai ni kuhakikisha CAG anajiondoa ili ile ripoti mpya ya 1.5 T aliyoikalia isisomwe , taarifa zote tunazo mkuu
 
Ndicho wanachokitafuta, huyu ndiye anayemnyima fisadi Jiwe usingizi.
Ile 1.5T ni vijisenti kwa itakayo kuja, nina wasiwasi inaweza isiwekwe wazi.
 
Viongozi wa USA ni mfano mzuri sana katika kuchukua hatua pale unapoona huendani na misimamo ya Rais. Wengi tu kule USA walishachukua hamsini sana kiroho safi baada ya kumuona Donald Trump anazingua.

Wamefanya hivyo kina John Kelly, Ryan Zinke, James Mattis nk

Hali ni tofauti sana kwa Africa. Sisi unafiki tunauweza.

Kwa hapa Bongo CAG kajitoa muhanga japo ni kwenye jambo ambalo lipo wazi sana kila mtu anajua bunge halipo huru.

Ukiangalia ghazabu aliyokuja nayo Spika ni wazi kuwa watu hawa hawawezi tena kufanya kazi kama kitu kimoja. Wameshazinguana. Chukulia pia taarifa ya Zitto Kabwe kwamba Spika ameziambia kamati zisifanye kazi na CAG wala wasaidizi wake.

Sasa kuna nini hapo......
Ingekuwa mimi ndiyo Prof. Assad nakuachia tu kibarua chako. Kwani nini bwana
Nadhani aliyeambiwa ni dhaifu ndo angejiuzulu
 
Ningekuwa mimi ndio spika ningejiuzulu uspika na ubunge kwa kuachwa uchi na CAG
 
Umetumwa na majizi www yaaani mkamata wezi ajiuzulu majizi yacho tee zaidi
 
Hivi kutoka na hizi issue wote wakaamua kuachia ngazi si tungekuwa level ya juu sana ya accountability. Assume CAG kaamua kuondoka kutokana na mkanganyiko uliotokea na Spika naye akaamua kuondoka kwenye uspika kutokana na tuhuma za udhaifu, ubutu wa bunge etc...Hapa wangekuwa wote ni washindi na mashujaa wa accountability.. in Africa i think i was dreaming...
 
Back
Top Bottom