Ningekufa sababu ya mwanamke

Ningekufa sababu ya mwanamke

Nashukuru mkuu nimepata kitu cha kujifunza ktk hadithi yako.
 
Nenda kajisajili bongo movie au kwa Shigongo, huku JF usanii wako hautakulipa
 
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake?? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu,
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada, hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu,

Wananchi wenye hasira walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!! Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka,
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!! Nikaondoka na funzo langu.

ilishaletwa humu toka mwaka jana mkuu

Ningekufa sababu ya mwanamke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom