Ningekufa sababu ya mwanamke

Ningekufa sababu ya mwanamke

jangala

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
1,583
Reaction score
2,383
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu.

Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajimwagia maji mwili mzima.

Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu wananchi walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amenisaidia.

Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka.Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda.

So mheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri.

Nikaondoka na funzo langu.
 
story imekaa kipuuzi ila only wise can understand huge meaning behind it
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Fao la kujitoa linachukuliwa we una enda visimani kutafuta wanawake ....acha ufala
 
Leo nimepita kisimani nikamkuta dada mmmoja akifua. ,Nikamuuliza eti dada unavijua visa vya wanawake?? Akajibu kaka niache, nikakomaa anijibu,
Badala ya kujbu akaanza kupiga mayowe, na kelele za kuomba msaada, hadi wananchi wenye mapanga, mawe na mishale wakaanza kuja, dada huyo alivyoona wanakuja akajmwagia maji mwili mzima. Nikajua leo ndio mwisho wangu nikajuta sana kutaka kujua kila kitu,

Wananchi wenye hasira walivyofika, wakamuulza, kuna nini? Akawajibu, nilidumbukia kwenye kisima na huyu kaka ndie amensaidia!! Wakanipongeza sana sana kisha wakaondoka,
Yule dada akaniambia, hivyo ndivyo visa vya mwanamke anaweza kukuua au kukulinda! So muheshmu mwanamke hata kinafiki, usijfanye jeuri!!! Nikaondoka na funzo langu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom