Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Mbinu moja wapo ya Watawala wachovu na waoga ni kutisha na kuogopesha umma wa unaowapinga kwa kutumia vyombo vya dola na adhabu za jela.
Kwa kuwa basi kila mtu anajua kesi ya UHAINI inayomkabili Ndugu Tundu Lissu adhabu yake ni moja tu KUNYONGWA HADI KUFA kwa mujibu wa Penal Code kifungu cha 39 na 40, ningekuwa mimi ni Tundu Lissu kwenye kesi ya Uhaini ningekubali hatia (plead guilty) on the spot ikifuatiwa na hotuba nzito itakayositikisa dunia nzima baada ya kesi yangu kufika kwenye mahakama yenye uwezo wa kusikiliza ili sasa tuone kama kweli dola ina ubavu kweli wa kuninyonga hadi kufa kwenye mazingira kama haya.
Hii itatuma ujumbe mzito kabisa kwamba kifo sio kitu nahofia kwenye kudai haki na usawa wa Watanzania, na wala hii haiwezi kunitisha na kurudisha juhudi za kudai haki hiyo nyuma. Ni mtego ambao kwa hakika ungewaacha mdomo wazi watesi wake huku wasijue ni nini wafanye sababu najua kabisa hawajajiandaa na kitu cha namna hiyo.
NO REFORMS, NO ELECTION