Ningekua Rais ningemuomba Obama mambo 5 tu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Sina uhakikika kama viongozi wangu wakuu wa nchi wameitumia vema fursa hii ya kutembelewa na wageni mashuhuri kama Obama, Bush, Michelle Obama, Laura Bush, na Rais wa China. Nilichosikia mimi cha maana kutoka kwa Obama ni Umeme wa vijijini. Hivi ni wanavijiji wangapi wana nyumba na hela za kuvutia umeme majumbani mwao? Nijuavyo mimi asilimia 80 ya wanavijiji wanaishi kwenye nyumba za matembe, manyasi na makuti na wanahitaji chakula cha msaada kila mwaka, hivi huo umeme wataweza kuulipia kila mwezi kwa matumizi yao hata kama wakiunganishiwa bure?

Utahitaji nguzo na nyaya ndefu kiasi gani ili uwasambazie wanavijiji waliotawanyika huku na kule mashambani mwao? Nadhani mimi gharama za kuufikisha umeme vijijinj haitalingana na manufaa watakayopata wanavijiji walio wengi. Angekuwa mimi Rais wa Tanzania badala ya umeme, ningemwambia Rais Obama atusaidie au atukopeshe:

1. Meli kubwa za kisasa za uvuvi kama ile meli ya Magufuli angalau 5 tu ili tukavue wenyewe samaki baharini,
2. Watalaam wa sheria za mikataba angalau 5 tu ili watusaidie katika kutoa mafunzo kwa wanasheria na viongozi wetu namna yaku-negotiate katika kuingia mikataba na wawekezaji,
3. Ningemuomba msaada/mkopo wa technologia ya kupambana na wakwepa kodi nchini ili kuwafanya watu wote wanaostahili kulipa kodi walipe,
4. Ningemuomba msaada/mkopo wa kuweza kuvitangaza vivutio vyetu vya utalii kupitia vyombo vya habari vya Marekani (CNN, ABC, VOA, n.k), Ulaya (BBC, skynews, n.k) na China ili kuongeza watalii nchini.
5. Ningemuomba msaada wa kusomesha vijana wetu kwenye maeneo muhimu ya kimkakati kama madini, uvuvi mkubwa, utalii, kilimo na ufugaji.
Faida itakayopatikana kutoka maeneo haya tuliyoombea msaada/mkopo ndio ingetumika katika kusambaza umeme kwa wananchi, na kujenga barabara na kuzihudumia. Vinginevyo tumeliwa tu…..
 
pole mkuu bahati mbaya siyo rais wewe
 
Mimi nisingemuomba chochote kati ya hayo uliyoyataja kwa kuwa raslimali tulizonazo zinatosha kufanya hayo yote na zaidi ya hayo pia!!! Kinachotusumbua watanzania ni siasa chafu, wizi, usimamizi mbovu wa raslimali za taifa na ukame wa fikra!!!
 
Mkuu tatizo kikwete hajui kuongea kingereza...lugha inampa tabu kuongea.
 
Mimi nisingemuomba chochote kati ya hayo uliyoyataja kwa kuwa raslimali tulizonazo zinatosha kufanya hayo yote na zaidi ya hayo pia!!! Kinachotusumbua watanzania ni siasa chafu, wizi, usimamizi mbovu wa raslimali za taifa na ukame wa fikra!!!

Aisee kama ulikuwa kichwani kwangu,, niombe ili iwaje wakati wao wenye wanategemea rasilimali zetu kukuza uchumi wao??
 
Tatizo sio kuwa hatuna wanasheria wazuri wa mikataba. Tatizo apa ni ufisadi. Utakua unazima moshi badala ya moto. Yote uliyoorodhesha hapo yanamezwa na ufisadi. Kukosa accountability kwa viongozi. wizi. Kuwa na serikali ndogo yenye viongozi majembe. Na CCM kuendelea kuwa madarakani. Hii ndo homa ya umaskini wetu na tutaombaomba sana. Yaani Raisi anatembeza bakuli live wakati ombaomba mtaani anawatinua? shame upon tz
 
Yote hayo tunayaweza sisi wenyewe bila hata ya kuomba kwa wamarekani. Kinachotusumbua sana sisi ni kuwa na umaskini wa fikra ambao huzaa taifa legelege, lenye kuamini Obama kuwa rais wa marekani waafrika tungependelewa. Kumbe wapi tumekula wa chuya. Maendeleo sahihi huja na fikra sahihi. Mwalimu aliweza kwa kiasi fulani kuonyesha njia ya kupita. Baada ya hapo kama taifa hatujui tunakoenda. Tunafurahi sana kupokea marais wa mataifa makubwa tukidhani ni masiha wamekuja. Tujiulize kama China miaka 30 iliyopita haikuwa mbali na Tanzania leo kumetokea nini kwetu na kwao? Tafakari ianzie hapo. Hatutaendelea kwa kutegemea misaada hata siku moja. Maendeleo ya kweli huletwa na wananchi wenyewe.
 
Sina uhakikika kama viongozi wangu wakuu wa nchi wameitumia vema fursa hii ya kutembelewa na wageni mashuhuri kama Obama, Bush, Michelle Obama, Laura Bush, na Rais wa China. Nilichosikia mimi cha maana kutoka kwa Obama ni Umeme wa vijijini. Hivi ni wanavijiji wangapi wana nyumba na hela za kuvutia umeme majumbani mwao? Nijuavyo mimi asilimia 80 ya wanavijiji wanaishi kwenye nyumba za matembe, manyasi na makuti na wanahitaji chakula cha msaada kila mwaka, hivi huo umeme wataweza kuulipia kila mwezi kwa matumizi yao hata kama wakiunganishiwa bure?

Utahitaji nguzo na nyaya ndefu kiasi gani ili uwasambazie wanavijiji waliotawanyika huku na kule mashambani mwao? Nadhani mimi gharama za kuufikisha umeme vijijinj haitalingana na manufaa watakayopata wanavijiji walio wengi. Angekuwa mimi Rais wa Tanzania badala ya umeme, ningemwambia Rais Obama atusaidie au atukopeshe:

1. Meli kubwa za kisasa za uvuvi kama ile meli ya Magufuli angalau 5 tu ili tukavue wenyewe samaki baharini,
2. Watalaam wa sheria za mikataba angalau 5 tu ili watusaidie katika kutoa mafunzo kwa wanasheria na viongozi wetu namna yaku-negotiate katika kuingia mikataba na wawekezaji,
3. Ningemuomba msaada/mkopo wa technologia ya kupambana na wakwepa kodi nchini ili kuwafanya watu wote wanaostahili kulipa kodi walipe,
4. Ningemuomba msaada/mkopo wa kuweza kuvitangaza vivutio vyetu vya utalii kupitia vyombo vya habari vya Marekani (CNN, ABC, VOA, n.k), Ulaya (BBC, skynews, n.k) na China ili kuongeza watalii nchini.
5. Ningemuomba msaada wa kusomesha vijana wetu kwenye maeneo muhimu ya kimkakati kama madini, uvuvi mkubwa, utalii, kilimo na ufugaji.
Faida itakayopatikana kutoka maeneo haya tuliyoombea msaada/mkopo ndio ingetumika katika kusambaza umeme kwa wananchi, na kujenga baraba
 
Back
Top Bottom