new forest
Member
- Mar 28, 2024
- 46
- 126
Hapo Wanawake ni wajinga umemjumlisha na Mama yako mkuu?Wanawake ni wajinga sana, na huwa hawaeleweki nini watakacho hayo mambo yapo sana na huwa yanaumiza sana, Mkuu piga chini huyo Mwanamke angalia ustaarabu wako tu. Inawezekana hata hiyo mimba sio yako
Lake na la wakwanza πPiga chini.....
Next baby dady inabidi aoneshwe makaburi mawili.
ππππHapo Wanawake ni wajinga umemjumlisha na Mama yako mkuu?
Kapiganeni ngumi mshindi aondoke na mkeHabari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa anatuma fedha za matumuzi tu.
Sasa Mimi nikawa nimevitiwa na huyo dada kutokana na uchapakazi wake, na hata dukani ana kauli NZURI Kwa wateja na ana mkono wa Biashara kweli kweli. Nikaona huyu ndiye mwanamke wa kuanza naye maisha japo nawaogopa ma single mother ila nikaamua Nile ngumu.
Cha ajabu majuzi nimekuta msg za mwanaume mwingine kwenye simu, Tena sio baba mtoto wake ila mwanaume mwingine kabisa na walikuwa wnapanga miadi ya kuonana waka vunje amri ya sita. Sasa kilichonishitua zaidi ni binti huyu kuwa na uthibutu wa kuchepuka akiwa mjamzito Tena Tumbo tayari limeanza kuonekana. Hivi akishajifingua itakuwaje?
Sasa hapa niko dilema sijui nifanyaje coz ujauzito ni kweli WA kwangu Nina uhakika asilimia 98, na binti ni mchapa kazi Yana ana sifa zote za kuwa mke. Ila kilichonishitua ni hiyo tabia yake. Najiuliza kama itakuwa sahihi kumuacha akiwa mjamzito?
Na pia nilipomuuliza kuhusu huyo MCHEPUKO alijotetea akasema ilikuwa ni chatting tu, coz ni mwanaume wake wa zamani sana ila hawajafanya chochote, na ameshamwambia kuwa yeye ni mchumba WA mtu hivyo hakuna kinacho endelea kati yao.
Mnanishaurije hapo wadau?
Kama mimba ni yako una uhakika jifanye hujaona maisha ya endelee mkuu kwani Kila mwanamke Ana kasoro zakeHabari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa anatuma fedha za matumuzi tu.
Sasa Mimi nikawa nimevitiwa na huyo dada kutokana na uchapakazi wake, na hata dukani ana kauli NZURI Kwa wateja na ana mkono wa Biashara kweli kweli. Nikaona huyu ndiye mwanamke wa kuanza naye maisha japo nawaogopa ma single mother ila nikaamua Nile ngumu.
Cha ajabu majuzi nimekuta msg za mwanaume mwingine kwenye simu, Tena sio baba mtoto wake ila mwanaume mwingine kabisa na walikuwa wnapanga miadi ya kuonana waka vunje amri ya sita. Sasa kilichonishitua zaidi ni binti huyu kuwa na uthibutu wa kuchepuka akiwa mjamzito Tena Tumbo tayari limeanza kuonekana. Hivi akishajifingua itakuwaje?
Sasa hapa niko dilema sijui nifanyaje coz ujauzito ni kweli WA kwangu Nina uhakika asilimia 98, na binti ni mchapa kazi Yana ana sifa zote za kuwa mke. Ila kilichonishitua ni hiyo tabia yake. Najiuliza kama itakuwa sahihi kumuacha akiwa mjamzito?
Na pia nilipomuuliza kuhusu huyo MCHEPUKO alijotetea akasema ilikuwa ni chatting tu, coz ni mwanaume wake wa zamani sana ila hawajafanya chochote, na ameshamwambia kuwa yeye ni mchumba WA mtu hivyo hakuna kinacho endelea kati yao.
Mnanishaurije hapo wadau?
Sio wote unataka kuniambia mzazi wako alikutendea jambo baya piaπππππ
We Acha tu Mkuu, nilishawahi ku share maumivu yangu na Melo anajua sana yaani. Wanawake hawana maana kabisa yaani
Mtoa mada anafikiri Kwa kutumia makalio kabisa ukiona mwanaume kamshindwa mwanamke jamani tuwe tunaelewaYani uoe single maza na mzazi mwenza yupo hai??
Hv huwa mnatumia matrako kufikiria au??
Sio wote unataka kuniambia mzazi wako alikutendea jambo baya piaπ