kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Katika ndoa kuaminiana ndo nguzo kubwa ambalo linaleta mafanikio
Ila katika ulimwengu wetu huu tunasema kumuamni mwanamke ni kupoteza mda na mimi apo ndipo nimesimamia mimi ni kijana nimeoa kwasasa nina miaka 3 kwenye ndoa yangu na mke wangu
Lakini kuna mambo fulani ambayo sielewi kwa mke wangu
Ni mtu ambaye nimechunguza kwa kina sana nimeoana hana huwezo wowote wa kukataa mwanaume yeyote mwenye uwezo kutokana na tabia yake ya aibu ni mtu mwenye umri wa miaka 27 lakini anatabia fulani za aibu aibu mbele ya watu ambao hawajui kitu icho kinanipa wasiwasi juu yake