Ninawashwa na koromeo nakohoa kikohozi kikavu nikihema napiga mluzi naogopa kwenda hospital nikihofia Mambo mawili yaweza kuwa covid au nikatengwa

😂😂Umenikumbusha ki clip flan cha Charlie Chaplin, alimeza firimbi ikakwama kwenye koo, kila akihema anatoa miluzi,
Kila aendapo mbwa wanamdandia wataka watembee na mdomo.
Ile clip ni burudani sanaa nikiiona
😳 😳
 
Wabinafsi ni watu ambao hujifikiria wao tu. Hawafikirii ndugu jamaa, marafiki na watanzania wengine. Katika kipindi cha sasa tukiwa twapambana na Corona, na wewe ukiwa hapa Dar kwenye matatizo zaidi; ni vyema ungejitokeza upimwe ili ujue moja.
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.

jitenge mapema au toa taarifa kwa mamlaka husika kuliko kuuwa wenzio kwa uzembe...na kuwahi huduma za afya mapema inaweza kukusaidia kupata matibabu mapema...ukichelewa ndo itakuwa nitolee hiyo...
 
Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.

madam utatuulia huyu kijana..akitoka hapo atakuwa ananukia pilau mwezi mzima....ukisikia mtu ananukia pilau ujue ni tatizo hilo
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
Wala usihangaike,Jua tu' mficha maradhi kifo humuumbua' na tena' mchuma Janga hula ba nduguze'
 
Hamna ni hali ya hewa tu kama upo Dar..maana mimi siku tatu zile za sikukuu ijumaa mpaka j3 nilikua hoi kimtindo full kukohoa, kichwa, mafua!! nilipiga dawa si mchezo..sahizi nimepona!!
Nimeona wengi wanaumwa Cold & flu
KACHEKI CORONA MKUU, una siku 14 za kukaa nayo na kujifariji. HAtutakutenga Boss kwa sababu leo kwako kesho kwetu.
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
KACHEKI CORONA MKUU, una siku 14 za kukaa nayo na kujifariji. HAtutakutenga Boss kwa sababu leo kwako kesho kwetu.
 
Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .

Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .

Naomba ushauri naomba mniombee.
Ni rahisi kujitibu hata kama ni Covid-19. Tengeneza salt solution na Maji ya moto kunywa Mara tatu in 24 hours! Halafu endelea kunywa Maji ya moto yasiyo na chochote every half an hour for two days. The problem will be finished.
 
Kama unaogopa hospital rudi edeni tumia miti shamba mm kwangu mwarobaini ndo dawa ya kila ugonjwa utakao nishambulia
 
Kuna dawa ya asili inasaidia.
Ponda tangawizi, na binzari na kitunguu saumu.
Chemsha pamoja na maganda ya limao.
Weka kwenye bakuli ujivukize moshi wake ukiwa umejifunika taulo.
Taulo unajifunikia wapi mkuu?,kiunoni,
Maana vipimo vya taulo vinafahamuka,
Labda useme blanketi
 
Back
Top Bottom