Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Kweli kabisa kuna haja ya kufanya hivyo, siku hizi napita chocho tuuPoleni kwa manyanyaso mnayoyapata pamoja na kugeuzwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama wa bara barani kuwa kitega uchumi kipya na chanzo chao cha kuongezea mapato na kujipatia sifa.
'These people have made u fool of theirs and now its your time to make them fool of themselves'.
'they have shown us who they are and now its our time to show them who we are'. ..
Nawahamasisha myapaki magari yenu nyumbani kwa mda wa wiki moja au mbili hivi na muwe mnayaendesha nyakati za usiku ili tuone watakamata nini.
Hakuna haki inayokuja kirahisi.. Wacheni bara bara nyeupe polisi waweke magari yao.. Mkiwachekea mishahara yenu itaishia kwenye fine huku watoto wenu wanakufa njaa.
Neno hilo, maana jamaa mmmm we acha tu!? !Poleni kwa manyanyaso mnayoyapata pamoja na kugeuzwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama wa bara barani kuwa kitega uchumi kipya na chanzo chao cha kuongezea mapato na kujipatia sifa.
'These people have made u fool of theirs and now its your time to make them fool of themselves'.
'they have shown us who they are and now its our time to show them who we are'. ..
Nawahamasisha myapaki magari yenu nyumbani kwa mda wa wiki moja au mbili hivi na muwe mnayaendesha nyakati za usiku ili tuone watakamata nini.
Hakuna haki inayokuja kirahisi.. Wacheni bara bara nyeupe polisi waweke magari yao.. Mkiwachekea mishahara yenu itaishia kwenye fine huku watoto wenu wanakufa njaa.
Watawapiga bao madereva wa daladala. Njaa ikizidi watakimbilia hadi magari ya mwendokasi. Mentalities zao zishaoza na rushwa
Kati ya watu ambao huwa ninawaombea ni trafiki...hawa watu kama una kihela mfukoni mpe tu, sio rushwa..yaan mpe km kumsaidiaWatawapiga bao madereva wa daladala. Njaa ikizidi watakimbilia hadi magari ya mwendokasi. Mentalities zao zishaoza na rushwa
Kwa uendeshaji wenu mbovu lazima kulipa fine hakuna namnaWalinilamba 50 juzi daah acha tu
Kati ya watu ambao huwa ninawaombea ni trafiki...hawa watu kama una kihela mfukoni mpe tu, sio rushwa..yaan mpe km kumsaidia
Kinachoshangaza ni pale wanapokamata na kukutaka ulipe fine kisa kuna abiria hajafunga mkanda. Lkn wakati huo huo hakuna hata mmoja ktk daladala aliyefunga mkanda ikiwa ni pamoja na dereva na wala hawaguswi. Tatizo ni nn hapo?Kwa uendeshaji wenu mbovu lazima kulipa fine hakuna namna
Mm nashauri mgome kuendesha tuone watapata wapi hizo hela maana hata sheli kutakuwa kwa motoWalinilamba 50 juzi daah acha tu