Ninawahamasisha wenye magari binafsi kugoma!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,742
Poleni kwa manyanyaso mnayoyapata pamoja na kugeuzwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama wa bara barani kuwa kitega uchumi kipya na chanzo chao cha kuongezea mapato na kujipatia sifa.
'These people have made u fool of theirs and now its your time to make them fool of themselves'.
'They have shown us who they are and now its our time to show them who we are'. ..
Nawahamasisha myapaki magari yenu nyumbani kwa mda wa wiki moja au mbili hivi na muwe mnayaendesha nyakati za usiku ili tuone watakamata nini.
Hakuna haki inayokuja kirahisi.. Wacheni bara bara nyeupe polisi waweke magari yao.. Mkiwachekea mishahara yenu itaishia kwenye fine huku watoto wenu wanakufa njaa.
 
Poleni kwa manyanyaso mnayoyapata pamoja na kugeuzwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama wa bara barani kuwa kitega uchumi kipya na chanzo chao cha kuongezea mapato na kujipatia sifa.
'These people have made u fool of theirs and now its your time to make them fool of themselves'.
'they have shown us who they are and now its our time to show them who we are'. ..

Kweli kabisa kuna haja ya kufanya hivyo, siku hizi napita chocho tuu
 
Poleni kwa manyanyaso mnayoyapata pamoja na kugeuzwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama wa bara barani kuwa kitega uchumi kipya na chanzo chao cha kuongezea mapato na kujipatia sifa.
'These people have made u fool of theirs and now its your time to make them fool of themselves'.
'they have shown us who they are and now its our time to show them who we are'. ..
Nawahamasisha myapaki magari yenu nyumbani kwa mda wa wiki moja au mbili hivi na muwe mnayaendesha nyakati za usiku ili tuone watakamata nini.
Hakuna haki inayokuja kirahisi.. Wacheni bara bara nyeupe polisi waweke magari yao.. Mkiwachekea mishahara yenu itaishia kwenye fine huku watoto wenu wanakufa njaa.
Neno hilo, maana jamaa mmmm we acha tu!? !
 
Watawapiga bao madereva wa daladala. Njaa ikizidi watakimbilia hadi magari ya mwendokasi. Mentalities zao zishaoza na rushwa

Kati ya watu ambao huwa ninawaombea ni trafiki...hawa watu kama una kihela mfukoni mpe tu, sio rushwa..yaan mpe km kumsaidia
 
Mkuu, hali sasa inasikitisha sana
Trafic wanawinda magari binafsi kama kitoweo
Parking 4500-5000 kwa siku
Bado tulipe kodi kwenye
Mafuta
Insurance
Road licence
Unapo Import
Magari ya dola mia tatu unalipia milioni had 9 TRA
Na bado unasumbuliwa hivi, ngoja tuish kama wanavotaka, mashetani tuwe wengi, tuone uchumi utajengwa na nani.
tutagombania daladala mchana, usiku na jumapili ndio tunatoka nayo tuone unanipatia wapi
 
Matraffic ni janga hasa Tazara...

Mi wakinisimamisha tuu ni mwendo wa kumuonesha indicator kuwa napaki, then ndukiii....
 
Kwa uendeshaji wenu mbovu lazima kulipa fine hakuna namna
Kinachoshangaza ni pale wanapokamata na kukutaka ulipe fine kisa kuna abiria hajafunga mkanda. Lkn wakati huo huo hakuna hata mmoja ktk daladala aliyefunga mkanda ikiwa ni pamoja na dereva na wala hawaguswi. Tatizo ni nn hapo?
 
Mkuu,, hilo wazo zr sn Kama tungempata mtu Kama yule mzee wa kutetea Bandari angeenda kuhamasisha huu mgomo kwa kweli.

Wanakera hadi wananuka jasho kwa kukaa juani kutuvizia barabarani wezao.

Utakuta MTU unakula kipupwe kwenye gari lako Mara unaambiwa simama fungua dirisha.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom