Darlingtone
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 390
- 146
una kutana na mdada first day
siku ya pili anakwambia kodi ya nyumba nzima aliyopanga imekwisha.....
unabaki mdomo wazi....
as if tusingeonana ungelala stendi au??????????
The Boss, inawezekana siku unakutana naye ukajitangaza kwamba wewe ni mjukuu wa Bill Gates
Sasa na yeye anakuwa anatafuta pa kutokea, akiona hivyo anajaribu zali
Basi hujui mapenzi....
hakuna mwanaume asiehonga wala asiyependa kuhonga
ishu sio kuhonga ishu ni kuchunwa
duh!kumbe ndio hivyo.hakuna mwanaume asiehonga wala asiyependa kuhonga
ishu sio kuhonga ishu ni kuchunwa
Rev,yote kwa yote mimi nachukia sana tena sana tabia ya kumpa kitu mwanamke (simu,gari,fenicha,nyumba etc) halafu mkiachana eti unakuja unamkomba vitu vyote,mbaya sana hii wanaume wenzangu,kumbuka raha anayokupa mwanamke ni priceless huwezi kuithaminisha.
ATM ndo kila kitu bwana.....mwanaume kama siwezi chomoa vijicent kadhaa kwa wiki wa kazi gani????
like how much for a week???????????lol