Ninavyoishi mimi na mke wangu

kuna wakati wanawake huwa tunachoka,unaongea na mumeo hadi unachoka,ukimuambia hivi yeye anafanya opposite basi unaamua kumuacha afanye analotaka na ulimwengu utamfunza,akileta ukimwi nyumbani basi na mfe kwa amani tu maana hakuna namna nyingine,ila kwa kuwa ni mumeo basi unaendelea kumpenda na kucheza part yako kama mke ili asije kupata sababu ya kukuhukumu kwa maovu yake,,kwa kweli wanaume mbadilike mnawatesa sana wake zenu kisaikolojia.
 

Nimekupenda buree mpenzi yani kunywa coca nitakuja kulipa .... wanaume wanatuvuruga sana akili
 
Anakupenda hayo madogo......mie mwenzako nasonga ugali saa 8 usiku..hapa najua linalewa huko....likija fasta nalisongea ugali......
Na tuitwe tu wanawake silipigii simu wala msg maana hapa ni kwake litazurura litarudi tu home.......

We jembeeeee!! 😀😀😀😁
 
@mcepuko sisi watu wenye mapenzi ya kusamehana na kutonuniana, wako kwenye makaburi siku nyingi, wamebaki wajane na wanaolala mzungu wa nne.Watoto wamebaki wanaangaika mtaani.
 
Kumbeee ndomana hapa jiran kuna jamaa anakuja kumla utamu wa mke wa mtu alafu anaondoka saa saba daah pole sana kaka ndo maisha lkn
 
hahahha... ukisikia situationship ndy hiii. wewe jamaa hata hujui uko kwenye ship gani na mkeo.ila yeye anajua ship gani yupo ndyo maana she is so calm. jaman get me intouch with her so I can learn some skills.
 
Atakuwa anatifuliwa sehemu vizuri sana.we jione mnjanja tu
 
unamsubiri hadi saa nane?
Toka na wewe akirudi akute hujarudi

miss you too.....
mimi nikikuambia i miss u naniambia nikufuate chumbani amu unamjibia hapa i miss u
 
mimi nikikuambia i miss u naniambia nikufuate chumbani amu unamjibia hapa i miss u

I miss you too
wewe tu na ... amu unamuonea hapa
 
Last edited by a moderator:
Huyu mkeo...yupo VIZURI kwenye kuigiza...
 
Mletee tu huyo mchepuko wako ndani kwako....atawaandalia maji ya kuoga na atawapikia..Kisha atawapisha kitanda mlale....

Hayo ndo maisha Bora kabisa....mkuuu bigup sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…