Ninavyodhibiti gharama za umeme

kumbe inawezekana kubadili jina la meter??
 
Wengine Watakuponda Kuwa Mbahiri Ingawa Unapiga Hatua Na Huombi Mtu, Maisha Unayafurahia Vizuri
 
wadau,umeme unachajiwa kwa tarifu uliyonayo,kwa tarifu za chini ndio unaweza kutumia uniti 2 au 3 kwa siku,na tarifu inategemea vifaa ulivyonavyo nyumbani,muhimu ni kutafuta mbinu ya kupunguza matumizi
 
Maelezo kibao umeme wa Tanesco bila kuchakachua utachemka
 
Aise yaani ume stafu kazi halafu unatumia umeme wa elfu 60 ?
Ebu fukuza members wote wa familia waliofika umri wa kujitegemea ubaki na wajukuu wawili wa kuwatuma maji ya kunywa tu.
 
Aise yaani ume stafu kazi halafu unatumia umeme wa elfu 60 ?
Ebu fukuza members wote wa familia waliofika umri wa kujitegemea ubaki na wajukuu wawili wa kuwatuma maji ya kunywa tu.
Hoja sio watu wangapi,hoja ni vifaa vipi mnatumia,kwa sasa najaribu kupunguza 2 units per day ndio nipo kwenye study
 
Kesho nataka nipime huu umeme kama kuna shida,ntazima asb saa 12 kwenye main switch then ntauwasha saa 12 jioni hapo ntaamgalia je ulitumika kipindi nimezima?Kama ntakuta umetumika basi ntajua kuna dosari
 
Unalipa 60,000/- Toka shilingi ngapi?
 
Hapa umezungumzia na kawizi kidogo ili kupunguza gharama
 
Mbona huu mwandiko sio wa ki ustaafu kabisa
 
Ongera mkuu kwa nidhamu ya matumizi kila kitu mjini au kjjijini ukikikokotoa kwa mlengo wa fedha utaokoa pakubwa
 
SIsi tumepunguza baadhi ya vitu, ndiyo tunanunua 70k kwa mwezi. Nitajaribu hiyo solar kwenye kitu kingine.
 
Acha kuteseka, tafuta hela. Badala ya kutafuta hela unapambana kuzima taa kwenye nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…