Wajikwezao hushushwa na wajishushao hukwezwa..! Mungu hufanya tofauti na wanadamu.
umenikumbusha miaka hiyo, pm wa wakati ule (r.i.p) kawawa alienda ziara uingereza alipoulizwa ni kitu gani kimemfurahisha yeye akasema ameshangazwa sana na maendeleo yao yaani hata watoto wadogo wanaongea kiingereza! Tz labda wasomi tu ndo wanaweza kuongea kiingereza.
niulize nitakujuzaHuyu Mama mara chache sana namuona akitabasamu
ni kama ana zigo la stress.....
hapo umejibu moja ya maswaliYuko na muonekano mzur na wakistaarab, ila kwa mama Regina cjui atapitia wapi!! Alf pia itakuw ni kweli hana uhusiano mzur na mumewe na huenda sabab ya kutotaka kuitwa mke wa waziri ikawa ni hyo mbali na kutojikwez, hasinge kasirika ila angekuw angekataa tu coz ni kweli
Wanasikitika nini hao wanafunzi...
Kwani huyo Magufuli kashapata huo urais hata wasikitike kuondoka kwa mwalimu wao???
Mtampamba tu, hata kama hana sifa hizo. Kwani kuna mtu wa kumuandika vibaya? sawa na marehemu, sijawahi kusikia mtu anatoa mabaya ma marehemu katika maisha yake! I am not convinced by this story anyway!
Huyu Mama mara chache sana namuona akitabasamu
ni kama ana zigo la stress.....
acha uongo,ulishamuona?jamaa anapiga sana mke
Mkuu waandishi wa kujitegemea kuuza habari ndio maisha hata katika TV utasikia anatoa habari startv na Aboodtvhii habar nimeisoma The citizens au nikampun moja na nipashe?
wewe ndugu yangu uko pessimistic, sijui kama unaelewa maana ya hilo neno. Unawaza mabaya tu. Huyu mama ni mfano wa kuigwa. Mume wake naye ni mtu mzuri na anyejali watu. Kwa kweli tumempata Rais mzuri sana ambaye anaweza kubadilisha maisha ya watanzania positively. Asante Mungu umejibu maombi.Mtampamba tu, hata kama hana sifa hizo. Kwani kuna mtu wa kumuandika vibaya? sawa na marehemu, sijawahi kusikia mtu anatoa mabaya ma marehemu katika maisha yake! I am not convinced by this story anyway!
Alisema kwa kuonyesha ni jinsi gani hataki maisha ya juu, watoto wake wote walipitia shuleni hapo na mtoto wa mwisho alimaliza mwaka juzi na kufaulu Shule ya Sekondari ya Kata ya Oysterbay ambako anaendelea kusoma.
Huyu Mama mara chache sana namuona akitabasamu
ni kama ana zigo la stress.....