Ninauza toyota harrier lexus 4 ,

Nipo na gari fresh anayehitaji aje tukalikague afu aje atoe ushuhuda
 
Nilichomsoma mtoa uzi ni labda alitaka kushikwa so anachokifanya anaomba ushauri ili azibuliwe masikio .umefanya vyema mkuu.
 
aiseeeeee babayangu mleta uzi unaminjoo kichwani nn hiyo gari si modal ya 2013. ww
 
Acha kudanganya watu. Hiyo ni harier ya 2001 na sio lexus na sio ya 2011. Harrier ya 2011 ni tofauti kabisa. Bei hiyo ni sawa kwa harrier ya 2001 au 2002.
 
Picha nyingine


Hiyo picha uliyobandika ni ya Toyota Harrier toleo la mwaka 1999; ebu angalia hapa Lexus Harrier toleo la mwaka 2013 ujisikie kizunguzungu

 

Attachments

  • Toyota-Harrier-rear-at-2013-Tokyo-Motor-Show-1024x682.jpg
    83.5 KB · Views: 192
Yaani we jamaa haujui kudanganya,gari aina hiyo ya 2011 kwa 21m?
Halafu gari imetembea km 600 au ulikuwa inaifanyia biashara ya kusafirishia abiria.
Hilo gari limezeeka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…