mawe craft
Member
- Mar 10, 2015
- 24
- 9
Ni habari njema,bei zipoje? Ofisi kuu ipo wapi? Ikiwezekana weka picha ya Tiles zenyewe na samples za nyumba zenye hizo tiles,Habari zenu wandugu?
Ninazo tiles zitokanazo na mawe halisi ya Tanga stone (slate stone) yanapatikana kwa kiasi chochote na ninauza kwa squre meter.
Vile vile ninapokea oder kwa design (cutting style) yeyote mteja atakayo itaka, tunakusafirishia popote ulipo Tanzania
Mkuu weka contacts zako tukutafute.Nawa wekea picha soon wandugu, ofisi kuu ipo Morogoro na ofisi ndogo Tanga( japo ndipo nitowapo malighafi)squre meter moja nauza kwa Tsh 25,000
Nina machine ya kukatia, je unahitaji ?
Mfano Dar kumpelekea mteja inaanzia mzigo wa mita ngapi za mraba?Habari zenu wandugu?
Ninazo tiles zitokanazo na mawe halisi ya Tanga stone (slate stone) yanapatikana kwa kiasi chochote na ninauza kwa squre meter.
Vile vile ninapokea oder kwa design (cutting style) yeyote mteja atakayo itaka, tunakusafirishia popote ulipo Tanzania
Kwa Dar tutakuletea kuanzia SqM 30 bossMfano Dar kumpelekea mteja inaanzia mzigo wa mita ngapi za mraba?
Ndg vyema uweke no yako.Habari zenu wandugu?
Ninazo tiles zitokanazo na mawe halisi ya Tanga stone (slate stone) yanapatikana kwa kiasi chochote na ninauza kwa squre meter.
Vile vile ninapokea oder kwa design (cutting style) yeyote mteja atakayo itaka, tunakusafirishia popote ulipo Tanzania
Tu
Kwa Dar tutakuletea kuanzia SqM 30 boss
Nimekupata mkuu Masanja....napatikana hapa 0766111711Mkuu fanya biashara ya kisomi. Mpaka hapa naona wigo mkubwa wa biashara. But hujaweka contacts zako..uweke picha za mzigo ulionao....ujibu maswali ya wadau humu....jamani fellow Tanzanians tuamke! Huwezi kufanya biashara kwa approach hii ukatoboa. Never.
Napatikana hapa boss wangu! 0766111711Ndg vyema uweke no yako.