Ninauza shamba zaidi ya ekari 40

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Ndugu habarini na poleni na kazi.
Ninauza shamba langu katika wilaya ya mufindi ambalo ekari 10 zimeshapandwa miti.Eneo hilo ni muhimu na maarufu kwa upandaji wa miti.Kwaanayehitaji awasiliane nami kwa:
0714462767
 
Mufindi ni kubwa sana tana ni maeneo gani. Kata, tarafa au kijiji. Je ifwagi, itona, ifupila, ibwanzi au wapi? Taja na bei kwa ekari..m
 
Kuna harufu ya utapeli humu, mtoa tarifa sijui ni kibarua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom