Mbutu ni miongoni mwa maeneo ambayo yatachukuliwa na serikali kwa ajili ya kigamboni city project. Kabla hujanunua jihakikishie kuwa eneo hilo hutanyang'anywa.
Huyu muuzaji anayejiita M-pesa hayuko ethical. Kama kuna mtu anataka eneo ni bora akatafute kwa mtu mwingine. Hapa ananiandikia PM kibao za vitisho ili nisiseme ninayoyajua kuhusu mbutu. Alianzisha thread leo kaifuta baada ya kuona watu watajua ukweli. Sishauri kufanya biashara ya kiwanja hicho na M-pesa.

Mkuu asante sana kwa kututonya. Nashangaa hata mimi nilimuuliza kuhusu documents na kama kiwanja/ shamba limepimwa. Hakujibu na wala maulizo yangu siyaoni, kumbe alifuta!
Huyu muuzaji anayejiita M-pesa hayuko ethical. Kama kuna mtu anataka eneo ni bora akatafute kwa mtu mwingine. Hapa ananiandikia PM kibao za vitisho ili nisiseme ninayoyajua kuhusu mbutu. Alianzisha thread leo kaifuta baada ya kuona watu watajua ukweli. Sishauri kufanya biashara ya kiwanja hicho na M-pesa.
Ndugu yangu nani anakutisha? Hivi ulimwengu huu nani ananunua kiwanja bila kufanya search? Mnunuzi yupo huru kwenda Manispaa ya Temeke hadi wizara ya ardhi ili kujiridhisha kabla ya kununua. Nina hakika asilimia mia moja unakurupuka kwa posts zako.
Wewe ni Great thinker kweli? Thread ipi nimeifuta ndugu? Unaweza kuthibitisha?
Mimi nafanya biashara kwa akili, na ndio maana utaona nimeweka thread tofautitofauti zenye content moja katika majukwaa yafuatayo: Biashara, Matangazo madogomadogo na Habari Mchanganyiko.
Huna haja ya kuniandikia PM kuhusu thread ambayo iko public. Hiyo ni dalili ya kukosa uaminifu na nitashangaa kuona mtu anainvest sh. Milioni nne katika biashara na wewe. Ninachokifanya ni kuhakikisha kuwa JF haitumiwi kwa utapeli. Kama unauza kitu weka thread na acha members watoe maoni yao, hupaswi kukataza members kusema wanayoyafahamu kuhusu product unayouza. Unaweza kutoa sababu ziliyokufanya ufute ili thread uliyoleta awali kuhusu hilo "shamba"?
Katavi umenichekesha kuliko siku zote... Hahahahahahahahahaha.... Mtu anaweza kudhani tunajuana, ila I have no idea who this dude is! Nimeshangaa jamaa yuko aggressive utadhani katongozewa mke. Mimi nina ardhi huko na nimeacha kuidevelop kwa sababu tushapewa taarifa na hata TBC walionyesha kikao chetu na mkuu wa wilaya ya Temeke kuhusu kunyan'ganywa maeneo yetu, tunajaribu kuresist lakini najua mpaka mwisho hatutafanikiwa kwa sababu tuko devided sana. Sasa jamaa anataka kujifanya gwiji la matapeli, ila kinachoniudhi zaidi ni kwamba anamiss use Jamiiforums.