bishontongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 239 Reaction score 223 Nov 10, 2016 #1 Mimi ni muuzaji wa samki sato karibuni sana,samaki safi sio mchina ukitaka walio kaangwa nakulekebishia nitafute nikupe maelekezo ahsanteni.
Mimi ni muuzaji wa samki sato karibuni sana,samaki safi sio mchina ukitaka walio kaangwa nakulekebishia nitafute nikupe maelekezo ahsanteni.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Nov 10, 2016 #2 bishontongo said: Mimi ni muuzaji wa samki sato karibuni sana,samaki safi sio mchina ukitaka walio kaangwa nakulekebishia nitafute nikupe maelekezo ahsanteni. Click to expand... Tangazo linaendelea au ndio limeisha?? Niletee kilo moja na Robo hapa Mtipindi njia panda ya Mraseni kama unaelekea Ngareni. bei itakuwa shingapi??
bishontongo said: Mimi ni muuzaji wa samki sato karibuni sana,samaki safi sio mchina ukitaka walio kaangwa nakulekebishia nitafute nikupe maelekezo ahsanteni. Click to expand... Tangazo linaendelea au ndio limeisha?? Niletee kilo moja na Robo hapa Mtipindi njia panda ya Mraseni kama unaelekea Ngareni. bei itakuwa shingapi??
bishontongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 239 Reaction score 223 Nov 10, 2016 Thread starter #3 Ok mie niko Dar maeneo ya ubungo urafiki! Kilo 10000 ,sorry sjakuelewesha
las Casas JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 575 Reaction score 724 Nov 10, 2016 #4 Mkuu uko wapi? Nitakucheki mkuu
N Ndelyaukiwa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2016 Posts 267 Reaction score 348 Nov 10, 2016 #5 Unavyosema sio mchina unamaanisha nn mkuu
bishontongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2016 Posts 239 Reaction score 223 Nov 10, 2016 Thread starter #6 Katika sato wapo na wa kichina wanafugwa nakuletwa Dar. Umenipata Ndelyalukiwa sjui nimekosea jina lako samahani.boss
Katika sato wapo na wa kichina wanafugwa nakuletwa Dar. Umenipata Ndelyalukiwa sjui nimekosea jina lako samahani.boss