Gari iko katika hali nzuri na haina tatizo lolote.
gear ni manual
inatumia diesel
milango mitano
haijawahi kufunguliwa engine
model ya 1992
engine cc 2470
ac inafanya kazi
ina 4wd
bei ni milioni 8
angalia picha ukipenda karibu tufanye biashara 0656497469