Ngosha weka bei basi? Sikukuu inakaribiaHabari za leo wana JF,
Mimi ni mfugaji wa mbuzi nipo Geita wilaya ya mbogwe nina uza mbuzi. Mbuzi wapo 23 bei ni maelewano
Karibuni.
Ha ha ha ha watu bwana.Weka picha ya hao Mbuzi watu waone afya zao wasijejua ni Mbuzi ya kukunia nazi