Habari wana JF, mimi nina mbuzi wakubwa mabeberu, ninauza bei ni kati ya 120-140, pungufu tunaongea, biashara maelewano na hatuwezi kushindwana.
Kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na wateja ni Sawa pia...
Beberu kama hilo uniuzie na majike watano.
Peke yake hilo litaparamia mpaka paka.

uko wap hko mbuzi wanauzwa bei kubwa hivo,hku kwetu beberu km hyo anauzwa elfu 50 au 40,

Hata wewe umewavunjia adabu paka.
Beberu kama hilo uniuzie na majike watano.
Peke yake hilo litaparamia mpaka paka.
Wako Dar, kimara stop over kama uko serious tuwasiliane 0713460709
Beberu kama hilo uniuzie na majike watano.
Peke yake hilo litaparamia mpaka paka.
uko wap hko mbuzi wanauzwa bei kubwa hivo,hku kwetu beberu km hyo anauzwa elfu 50 au 40,
Uko wapi?
Mimi nitakuongeza 20 iwe 70 ukiniletea beberu Dar...upo Tayari?