tungenunua, ila sio utamaduni wetu kufulia mashine,Hizi zimetumika katika biashara kidogo nikazihamishia katika matumizi ya nyumbani, zinafanya kazi vizuri, zote automatic moja ya kufua, kusuuza na kukamua, nyingine kwa ajili ya kukausha, wale wenzangu wa kauka nikuvae hizi ndio zenyewe
Sababu ya kuuza: napumzisha nyingine za ofisi hivyo ninazileta kwa matumizi home, hizi zinabidi ziondoke
Bei: zote mbili nnataka TZS 800,000/= tuu
Faida utakayopata: unaweza kufungua laundry service ukajiingizia kipato maana bado zinapiga mzigo vizuri
Faida nitakayopata: sitakuwa na mizigo ya mashine stoo ambazo sizitumii
Njia ya mawasiliano: nicheki PM
View attachment 1102189View attachment 1102190
tungenunua, ila sio utamaduni wetu kufulia mashine,
yani hata laundry service sio uwekezaji mzuri, watu wa bongo hawana mentality ya kupeleka nguo kwa dobi, akili zetu zinawaza kufua kwa mkono
Ila asikuambie mtu machine za kufulia ni bonge la msaada kuhusu usafi wa mwili ambapo ni faida kubwa sana...
Hiyo ya kukaushia sijawahi tumia but me huwa natumia mashine kufulia tu kisha ikishaspin na switch nobu isuuze na kukamua yenyewe nguo nzito na spin twice zinakuwa almost zishakauka...
Haya makitu kuna binadamu walianza kuyatumia miaka mingi sikujua kama walikuwa wanafaidi kihivyo
Hahahhahatungenunua, ila sio utamaduni wetu kufulia mashine,
yani hata laundry service sio uwekezaji mzuri, watu wa bongo hawana mentality ya kupeleka nguo kwa dobi, akili zetu zinawaza kufua kwa mkono
Hahahhaha
Mimi hua napeleka suti tuu, maana kufua na mkono utaharibu tuu
Sema nini mkuu, wenye fedha zao vitu kama hivyo ni kawaida sana
Alaf pia Kuna wale wamama wa mtaani wanaozunguka kutafta nguo za kufua kwa Bei cheaptungenunua, ila sio utamaduni wetu kufulia mashine,
yani hata laundry service sio uwekezaji mzuri, watu wa bongo hawana mentality ya kupeleka nguo kwa dobi, akili zetu zinawaza kufua kwa mkono
Kipindi hicho nilikua naona wanaotumia hivyo vifaa ni watu wenye ukwasi, kumbe ni kawaida tuuMfano mm nikiwahi nnarudi home saa tatu, mke wangu saa mbili na anapumzika siku moja tuu kwa wiki, lazima tuwe na vitu kama hivi huwezi kumuachia dada nguo zenu afue
Alaf pia Kuna wale wamama wa mtaani wanaozunguka kutafta nguo za kufua kwa Bei cheap
Nna hii hapa pia manual ipo stoo mwaka unaisha mwenye YZS 300,000, aje ni manual View attachment 1102293View attachment 1102294