Ninauza mabati(used)

au umeyavuna jana pale palikowaka moto mkuu.....πŸ˜€

Teh teh!
Mkuu haya mabati ni ya south Africa, cyo Yale yaloyetengezwa na aluminium au tin,
Haya yana feature kama ya ceiling boards japo zenyewe hazipitishi maji wala kulowana, ni bati LA aina yake..
Nakuhakikishia ukija kuyaona utayapenda sana na hutoacha kununuaπŸ˜€πŸ˜€
 
Material yake ni kama hyo mkuu
 

Attachments

  • 1478850502094.jpg
    92.1 KB · Views: 57
Wakuu nawashukuru sana kwa support yenu,
Na kila sifa imrudie MWENYEZI MUNGU,
Nawashukuru sana wateja wangu na nyote mlionisupport kwa namna moja au nyingine..
Wakuu bati ndo zimeisha kwa sasa..
Natanguliza shukrani zangu..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…