bilemasome
Member
- Oct 31, 2016
- 48
- 9
Mkuu umeona ukiweka picha ili tuuone uzuri wa hayo mabati utapata hasara gani
Yapo mangapi
Afrikana ile ya kigoma sio?[/QUOTE
Africana ya mbez beach mkuu
Hayo mabati umeyaiba wapi? Mbona kama yametoka kwenye nyumba iliyoungua?
Weweee.kweli hayo mabati ndo rangi yake?Teh teh...
Hapana mkuu hyo ni rangi ya hayo mabati.
Ni brown colour
Nikichukua piece 30