Habarini ndugu
Jipatie kuku wa kisasa (Broille) wazuri ambao ni wa nyama,
ninauza kuanzia kuku 100 na kuendelea.
kwa bei ya jumla ni Tsh. 5500/= kwa kuku mmoja
na kwa bei ya rejareja ni Tsh 7500/= kwa kuku mmoja
Wahi sasa kabla hawajaisha kama uko dar nitakuletea mpaka ulipo
Km unahitaji hao kuku niPM ili nikuletee ulipo
nyote mnakaribishwa sana