Habari wadau wa jf,
Nina uza engine ya NISSAN Model TD27 Turbo.
Iko complete na accesories zake zote plus a new fuel pump.
Bei ni 2.5
Maelewano yapo kwa serious buyers only.
Kwa mawasiliano ni PM au call @ 0689868640
Karibuni sana.
Dah,
Imetumika kama 4 yrs hapa bongo.Ni ya diesel,cc 2000,Tatizo lilikuwa pump na uelewa mdogo wa mafundi wetu so nikaibadilisha nikaweka TD27 so called 'Kavu" Otherwise haina tatizo kbs.Mimi si mfanyabiashara so anayeitaka atapata fursa ya kuicheck na fundi wake akitaka.
Asante.