Mimi nina priter ya hp deskjet f4580 ambayo ina support wireless, hii printer nilipewa ikawa haina wire wa kuleta kwenye pc, na sina cd yake kwa ajili ya instalation sasa. hivyo nikaamua kutafuta setup zake online lakini imekataa kuleta signal kwenye pc. sasa nifanyeje ili niweze kuitumia hii prtiner??