All the best kama kweli narudia kwa msisitizo kama kweli ukifanikiwa utapiga ela hata ukitangaza unatoa kwa laki mbili kwa iphone 6,6s na 6+ mpaka 7 watatoa
OFFER....OFFER...
nahitaji mwenye Iphone ina icloud namutolea kwa bei ya 20000 tu nikiwa katika majaribio baada ya kuhitimu mafunzo ya IT
payment after or before job?clean au dirty?unatumia cku ngapi na details gain unahitaji?