swahibu ramadhani
Member
- Apr 30, 2021
- 49
- 28
Nenda veta
Wasikutishe mwambaHabari za leo,
Kama nilivyoelezea hapo juu, nahitaji ushauri wenu. Mimi nimaliza shule Mwaka 2019 lakini matokeo yalikuja mabaya, yaani nilifeli hivyo lengo langu lakutaka kurudia mtihani Mimi shida yangu nataka nifanyie vizuri kabisa.
Naombeni ushilikiano.
Thanks youKama una nia ya dhati kabisa, rudia na upambane haswa maana kama ulikua fresh from form 1 to 4 na Necta hukufanya vizuri vipi sahivi una 2 yrs mtaani na uje ufanye mitihani maswali from form 1[emoji848] ni lazima ukaze sana mkuu. Ila usijali kuna wanao resit na wanatoboa mara moja !may you be among of them, kila rakheri solve past papers sana nk.[emoji120]
You're welcome!Thanks you
Kujixomea home na kwenda kupiga paperWasikutishe mwamba
kama umedhamiria nenda karudie
Ila jieleze, unataka kuvaa uniform tena na kuchapwa viboko na walimu wajinga wajinga?
Au unataka kujisomea mwenyewe, halafu ulipie kufanya mtihani? Na unataka ushauri jinsi gani ujipange katika kujisomea mwenyewe............
Au mkuu ningependa ushauri mwingine kutoka kwakoYou're welcome!
Mkuu unajua kila mtu Ana feature yake.Mkuu fanya shughuli nyingine, siyo lazima kila mtu asome au afaulu
naona mpaka kizungu kinakutupa, achana na hiyo habariMkuu unajua kila mtu Ana feature yake.