Mchakato unaweza chukua muda gani mpaka kupata Fedha taslimUwe na shares certificate yenye jina lako,kitambulisho cha NIDA, nenda kwa broker hisa zilikonunuliwa, wapo wengi Rasilimali, Orbit securities e.t.c mchakato utaanzia hapo.
Everyday is Saturday............................... 😎
Kama hisa zinauzika siku 3-5, kama hisa haziuziki, basi waswahili husema Subira yavuta heri, hata miezi 3,6 uvumilie...mchakato unaweza chukua muda gani mpaka kupata Fedha taslim
Pole sana mkuu kwa changamoto. Ushauri wangu bado ni ule ule, usitatue matatizo yako kwa investment ya mzee wakoNina shida sana mkuu hata mimi sikupenda kuuza hizo hisa
Soko. Demand and supply.idadi ya hisa ni 2000 ila bei kwani napanga mimi au soko?
AiseePole sana mkuu kwa changamoto. Ushauri wangu bado ni ule ule, usitatue matatizo yako kwa investment ya mzee wako
Tatua matatizo yako kibinafsi. Pambana mkuu. Usipambaniwe na mzee wako
Nikajua zipo chache ninunue. Hapo utapiga mkwanja mrefuidadi ya hisa ni 2000 ila bei kwani napanga mimi au so
Kuna msemo unasema ...Hisa 2000 kwa bei ya soko leo ni 10,900 so itakuwa 20,900,000.
Hapo utalipa kodi kidogo na fee ya broker na fee ya DSE, 20m itabaki.
Nenda kwa broker aliyekununulia hisa hizo, au broker yoyote unayempenda. Mpe cheti chako cha hisa, mwambie akuuzie.
Ni hayo tuuuu
Kuna benki inayokubali hayo mambo??kwa nini usipate muongozo wa kuchukua mkopo benki dhamana iwe hisa zako. Mkopo utakufanya uwe na nidhamu ya pesa kuliko kuziuza. Hiyo ni sawa na kuuza shamba la urithi, hujalitolea jasho hivyo hujui machungu yake
Kwan ukiuza ndio shida zitaisha Mali za urithi zinaishaga hovyo tuNina shida sana mkuu hata mimi sikupenda kuuza hizo hisa