Asante sana The Boss. Hope nitampata
Asante sana sema katika umri niliokuwa nao na ninaohitaji itachukua muda pia. Nitavumilia ninaamini kama sitampatia hapa basi watu wataniunganisha na potential candidates.dah kwenye umri sipo.kwenye kufunga ndoa sipo.imekula kwangu.utampata tu mkuu.all the best
Asante sana Humble African niko katika uhitaji wa ukweli na nimeusema moyo wangu ili mtu ajue kuwa sitanii hapa.Naogopa hata kucoment maana Mama mkubwa anaonekana hataki masikhara na kuzamilia kumpata Baba mkubwa wetu.
Kila la kheri Mama mkubwa, Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Hapa ninatafuta life partner kwa upande mwingine si mtu wa sarakasi kitandani. Binafsi nina miaka 47 na niseme niko busy na maisha na kazi zangu zaidi kuliko masuala ya sarakasi.47- 50 yrs kwa sisi wanaume wa ki Tz tunakuwa tumeshatumika sana"
Hata pulling inakuwa ya kuvizia hasa kama umekulia mjini.
Hizo condition ulizozi-attach+ jina, zina tisha kidogo' na zinaweza kukufanya ukakosa potential bidder,
Kila la kheri ktk safari yako/usiku mwema.
Mkuu hapo ndipo pamebeba mzimu wa kufeli unapokuwa kwenye mahusiano.Asante. Mpaka sasa kama hujafahamu maana ya kupenda kwa dhati itakuwa ngumu sana kwangu kujieleza.