Ninatafuta mchumba !

hargeisa

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
549
41
Ninahitaji kua na mwenza sasa
sifa:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
miguu ya bia
mweupe
wa tanga na zanzibar watapata kipaumbele cha 1
dini yoyote sio freemason tu
 

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,615
5,966
Mkuu umesema awe na miguu kama BIA, je kama bia gani Kilimanjaro, Serengeti, Tusker, Castle Light, Safari, Tusker Light, Castle Lager
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
kama ana figure nzuri tabia sio hoja? maana kuna rafiki yake na housegirl ni mzuri ila ni malaya malaya, unasemaje hapo?
 

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
772
410
Ninahitaji kua na mwenza sasa
sifa:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
miguu ya bia
mweupe
wa tanga na zanzibar watapata kipaumbele cha 1
dini yoyote sio freemason tu

duh... Kaazi kwelikweli hivi bia nazo zina miguu??? Zinasimama?? Au Zinatoka nduki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom