Ninatafuta mchumba

LUSHEPELEJA

Member
Jan 24, 2017
53
95
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, mtumishi, elimu form six, mkristo roman cathoric, ninatafuta mchumba wa kike ambaye anajiheshimu

Sifa zake;
1)Awe mkristo mromani cathoric
2)Elimu kuanzia form 2
3)Awe na umri wa wa miaka kati 25-28, kama amezaa awe na mtoto 1,kama hajazaa asiwe mgumba.
4)Awe anaishi au ametokea mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita na Tabora.
5)Awe na rangi yoyote
6)Asiwe mwembamba awe na umbo kubwa kidogo

Kama upo tayari naomba nitafute kwa namba 0684205619 tutafanya mawasiliano na poa niweze kutuma picha zangu na za kwako.
 
Prince toyboy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
377
500
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, mtumishi, elimu form six, mkristo roman cathoric, ninatafuta mchumba wa kike ambaye anajiheshimu
. . . . . . . . SIFA. .
1)AWE MKRISTO MROMANI CATHORIC
2)ELIMU KUANZIA FORM 2
3)AWE NA UMRI WA WA MIAKA KATI 25-28,KAMA AMEZAA AWE NA MTOTO 1,KAMA HAJAZAA ASIWE MGUMBA.
4)AWE ANAISHI AU AMETOKEA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, GEITA NA TABORA.
5)AWE NA RANGI YOYOTE
6)ASIWE MWEMBAMBA AWE NA UMBO KUBWA KIDOGO
Kama upo tayari naomba nitafute kwa namba 0684205619 tutafanya mawasiliano na poa niweze kutuma picha zangu na za kwako.
wadada wameshakuona mkuu haya jichagulie uwaburuze mmoja mmoja kwa watakaokutafuta
 
Mastamind

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
846
500
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32, mtumishi, elimu form six, mkristo roman cathoric, ninatafuta mchumba wa kike ambaye anajiheshimu
. . . . . . . . SIFA. .
1)AWE MKRISTO MROMANI CATHORIC
2)ELIMU KUANZIA FORM 2
3)AWE NA UMRI WA WA MIAKA KATI 25-28,KAMA AMEZAA AWE NA MTOTO 1,KAMA HAJAZAA ASIWE MGUMBA.
4)AWE ANAISHI AU AMETOKEA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, GEITA NA TABORA.
5)AWE NA RANGI YOYOTE
6)ASIWE MWEMBAMBA AWE NA UMBO KUBWA KIDOGO
Kama upo tayari naomba nitafute kwa namba 0684205619 tutafanya mawasiliano na poa niweze kutuma picha zangu na za kwako.
Sawa NDUTU watakuja tu subiri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom