komaa na benk za kibao usione noma kudrop cv ktk mabenk au microfinance,mi nilipata mchongo ktk style ya ajabu sana,kuliitajika 7 loan officers,jamaa hawakutangaza nafac waliambiana wao kila wenye ndugu mwenye bachelor au diploma of any discipline amlete kwa usaili,kwa bahati nzuri walipatikana sita,HR ktk pitapita zake akaiona cv zangu so wakakubaliana waniite ktk usaili kwa kunicheck km nitafaa au la,bahati nzuri Mungu aliwezesha nikapita.tulipelekwa ktk mafunzo,siku ya mwisho HR akawa anatupa nasaha kwa kueleza kila mtu alivyoingia,kwa hiyo watu wafanye kazi kwa bidii wasiwaanguze ma god father wao,hapo ndo nilipojua kumbe nimeingia kwa rehema za Mungu tu,tena sikuwa na uzoefu hata wa siku moja..usikate tamaa komaa tu..