Ninatafuta kazi nina diploma ya records management.

Ninatafuta kazi nina diploma ya records management.

Joined
Sep 9, 2017
Posts
7
Reaction score
1
Natafuta kazi

Habarini wana jf, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, ninatafuta kazi nimemaliza diploma ya records management, natafuta katika kampuni yoyote, au hata sehemu nyingine kwa yeyote anaweza kunisaidia nipo mkoa wa mwanza.

Asanteni
 
Natafta kazi ya records management

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you serious?? Hata kujitambulisha umeshindwa? Haya tuache hayo, hata salaam tu imekushinda!!?
Unatofauti gani na mtu asiyejielewa? Hata ukifika ofisini unabisha
HODI, UNASALIMIA, UNAJITAMBULISHA then unaeleza hitaji lako..!
Wew kulikoni unakuja kama umefumaniwa??
Edit thread yako na ujipange upya.

we kazi nikukosoa tu..unataka kila MTU ajue we ni mjinga kiasi gani
 
Are you serious?? Hata kujitambulisha umeshindwa? Haya tuache hayo, hata salaam tu imekushinda!!?
Unatofauti gani na mtu asiyejielewa? Hata ukifika ofisini unabisha
HODI, UNASALIMIA, UNAJITAMBULISHA then unaeleza hitaji lako..!
Wew kulikoni unakuja kama umefumaniwa??
Edit thread yako na ujipange upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani niulize hivi wewe upo kamilifu sana eti hivi ujue humu wengine hawajaja kushushuana wamekuja kwa mambo mbalimbali mbona upo kishali sana uko mtaani au nyumbani unaishije nawatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania sijui nani katuroga.

Mtu anakukosoa kwa nia njema ili ujifunze wewe unamuona mbaya

Tena kakuambia na madhaifu yako na namna ya kurekebisha..Ona baada ya kuedit uzi si ndio kidogo mtu anaelewa

Unaposema tu unataka kazi ni vigumu mtu kushawishika maana wanaotafuta kazi Ni wengi but mwajiri anaweza kuspot uwezo wa mwajiriwa right from the way he/she presents the stuffs hapa jukwaani

Tukubali kukosolewa na kujifunza ,ni faida yetu sisi wenyewe
 
Natafuta kazi

Habarini wana jf, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21, ninatafuta kazi nimemaliza diploma ya records management, natafuta katika kampuni yoyote, au hata sehemu nyingine kwa yeyote anaweza kunisaidia nipo mkoa wa mwanza.

Asanteni
Nitafute nam pia nimesoma records niwe nakutumia na matangazo unatuma maombi,mm pia niko mwanza mpendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom