Ninatafuta kazi ndugu zangu

Ninatafuta kazi ndugu zangu

Andrew Nyasury

New Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Nina elimu ya kidato cha NNE na cha sita, ni mwanaume miaka 22, ninaishi Tabata-relini, sina uzoefu wa kazi yeyote ila sitashindwa kufanya kazi yoyote halali...kazi ninayoomba yaweza kuwa kiwandani, madukani, tuition au shule kwa masomo ya Geo, History na kisw, pia hotelini....nataka nijikusanye niendelee na masomo...nawasilisha
 
Ingetosha kusema una elimu ya kidato cha sita
 
Mzee nenda shule ukatafute degree au ndo upo likizo?
 
Back
Top Bottom