tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
- Thread starter
- #21
Ahsante mkuuDefao kwenye ubora
Ahsante mkuuDefao kwenye ubora
Mdau amekusaidia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante sana mkuu nashukuru sana
Kweli mkuu nzuri sanaHyo nyimbo hata ipigwe leo utaipenda.old is gold
Ndio mkuu nashukuru sana kwakweli[emoji23]Mdau amekusaidia
NotedNdio mkuu nashukuru sana kwakweli[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila mkuu nawewe kwauchunguzi mmhNnachojiuliza hapa ulikuwa unautafutaje huo wimbo maana Jina huujui, aliyeimba humjui. Sipati picha ulichokuwa una search
Mkuu ninao subiriNa mm natafuta wimbo wa KULL JAMES MTOTO WA DANDU FT MADILUU- MAMUU, huu wimbo believe me uta u search sana kweny mtandao hutapata kiurahic wanauandika upo lkn kuu download nimeshndwa, alieonao nauomba
aiseee naoumba huoo wimbooooo mkuuMkuu ninao subiri
Najiandaa kuuweka hapa naona unagomagoma subiriaiseee naoumba huoo wimbooooo mkuu
ukifanikiwaaa nitumiee aseeaiseee naoumba huoo wimbooooo mkuu
Nitafutie huu wa Monika (sina uhakika kama ndo jina la wimbo) ila unaimbwa;Mkuu ninao subiri
Poa mkuuNitafutie huu wa Monika (sina uhakika kama ndo jina la wimbo) ila unaimbwa;
Naona bora niende zambia nikamtafute monika
Anatafutwa na Polisi
Mahakamani wameshapanga siku ya kusikiliza kesi
asipofika mahakamani mini nitafungwa jela
ooo monika uko wapiiiii.
Pia kina mmoja niliusikia zamani sana ila ni mzuri, nakumbuka baadhi ya beti zake:
Unajifanya kununa nuna, bila sababu, tutajaachana bure,
hata madebe hugongana, sembuse mini na wewe.....
Natanguliza shukrani