Ninashauri Mkutano wa CHADEMA Dar es Salaam usifanyike Jumatatu

Ninashauri Mkutano wa CHADEMA Dar es Salaam usifanyike Jumatatu

Yaani niliyoyaona leo katika kutafuta kimbulisho cha kura, makubwa, jana nimekosa leo, nikaona nivumilie nikajiandikisha, baada ya kusikia jana tu, bunju a shule na Bunju A. kata wamejiandikisha watu 1300 lakini watu mia na tano ndio wamejiandikisha tu, nimeambiwa nije baada ya siku mbili labda nitafanikiwa.
 
Nimekuja kugundua wewe pekee yako ndiye ulikuwa credible kwa EL humu JF..

Wengine wote walikuwa waganga njaa tu..

Siku hiyo ni siku maalum kabisa kwa ajili ya kubadilisha uelekeo wa siasa za Tanzania.... Kuna jambo kubwa sana litatokea Jumapili, hivyo Jumatatu ni mapokezi ya karne....

Vile vile mkutano huo unaweza kuwa njia nzuri ya kuwahamasisha vijana kujiandikisha kwa kasi kuanzia jumanne mpaka tarehe 2

Angekuwa credible angekimbilia chadema na kumuacha EL CCM?
 
Tumaini mkene nadhani umeona hili bandiko ni ushauri mzuri kabisa, hatupaswi kupoteza hata siku moja ya wanachama wetu kujiandikisha! Tuendelee na ziara mikoa mingine.
 
Last edited by a moderator:
Angekuwa credible angekimbilia chadema na kumuacha EL CCM?

Umesoma comment yangu ila hukutaka kunielewa... Nimesema Jumapili siasa za Nchi zinaenda kubadilika.... Nchi itasimama.... Sio kila kitu niweke wazi jaribu kujiongoze
 
Huyu Akwii nooma saana.Team yake yote inamsifia Magufuli sasa hivi....ni kweli au changa la macho...????
Siku hizi mikutano haina kibali "Scratch my back.................." wavumiliane tu
 
mleta umewalia timing hawa ccm, viongozi wa cdm tafadhali fanyien kazi hilo kwa maslahi ya chama na wapenda mabadilliko!
 
Huyo occampo four ni "HB" hivyo lazima aendelee kuwa credible kwa EL milele japo yeye anagombea kupitia ccm

Hahahaha mkuu ya kweli haya?? Mimi huyu namfananisha na Class mate wangu mmoja hivi. Nae ni 100% credible kwa EL..

Ngoja mkuu nikupigie honi,

cc Pasco

Huyo Pasco ni njaa tu.. Mara aseme humu hana chama wakati comment zake zinaongea yeye yupo upande upi..
 
Nimekuja kugundua wewe pekee yako ndiye ulikuwa credible kwa EL humu JF..

Wengine wote walikuwa waganga njaa tu..

Patience kaka, watu tuko field usidhani tumelala, safari ya matumaini inaendelea tena sasa ni ndani ya usafiri wa uhakika.
 
Huyu Akwii nooma saana.Team yake yote inamsifia Magufuli sasa hivi....ni kweli au changa la macho...????
Siku hizi mikutano haina kibali "Scratch my back.................." wavumiliane tu[/QUOTE]
Not necessary hiyo ni misemo tu.
 
Siku hiyo ni siku maalum kabisa kwa ajili ya kubadilisha uelekeo wa siasa za Tanzania.... Kuna jambo kubwa sana litatokea Jumapili, hivyo Jumatatu ni mapokezi ya karne....

Vile vile mkutano huo unaweza kuwa njia nzuri ya kuwahamasisha vijana kujiandikisha kwa kasi kuanzia jumanne mpaka tarehe 2

Itakuwa ni faraja kubwa kwa Pasco, manake kanyong'onyea kweli tokea tutoke Dodoma, sasa hivi kakaa chini ya MRETEMU aka juniper tree. Dah! Afadhali bana na Pasco atarejea.
 
Back
Top Bottom