"NINAPESA ZIDI YA SERIKALI"

jaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......
Ni serikali iliyochanganyikiwa na kujawa na hofu ndio inayoweza kuhangaika na kauli kama hizi.. Sikushauri uwe sehemu yake
 
Je aliitaja ni serikali ipi na hizo fedha zi wapi?

1. "Nina fedha kuliko serikali".

2. "Nina fedha kuliko serikali ya Tanzania".

Kauli hizo mbili zina wigo mpana wa kujadili
jaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…