peter chula
Senior Member
- Jun 8, 2013
- 123
- 68
Soon utapelekwa mswada bungeni waanze kulipa kodi si wameanza kujitapajaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......
Haaaaaaa...!, tukisema makanisa yafungiwe EFD mnatoka povu
serikali haina dini!so kauli yake itabidi aitolee ufafanuzi vizury!kua anapesa kuliko serikali!ikibidi kuchunguzwa!Jibu ni rahisi sana.
YOHANA 1:12 wote wanaompokea Yesu wanakuwa wana wa Mungu.
Zaburi 24:1 Mali zote hapa duniani ni za Mungu.
Hivyo kama yeye ni mtoto wa Mungu basi ana sehemu katika Mali hizo.
huu ni utetezi wa hovyo kabisaJibu ni rahisi sana.
YOHANA 1:12 wote wanaompokea Yesu wanakuwa wana wa Mungu.
Zaburi 24:1 Mali zote hapa duniani ni za Mungu.
Hivyo kama yeye ni mtoto wa Mungu basi ana sehemu katika Mali hizo.
[HASHTAG]#PombeAkatubuMadhambi[/HASHTAG]
[HASHTAG]#akatubuuu[/HASHTAG]Mleta mada ni bora ukaenda kutubu
Dogo Chula jishughulishe na mambo yako, politics huiwezi yaani hata uandishi wako sio wa degreejaman nimekutana na kauli ya Askofu kakobe ambayo sijajua maaana yake nn na kwa nn kaitoa
kuwa yeye anapesa zaidi ya serikali naomba kujua mali zake.......