Kunywa maji mengi kisha muone Dr. MariposaNapata wasiwasi ya kuoa kutokana na haya ninayo yaona kila siku kwenye mtandao kuhusu maisha ya wana ndoa
Kila siku lazima ni kutane na post ya watu kuachana wengine kufumaniana wengine kulea watoto ambao sio wao
Dah sijui tukimbilie wapi sisi kutafuta wanawake tutakao dumu nao
Mchumba wako anaandika xaxa badala ya sasa? Kama jibu ni ndio atagongwa sana na wajinga wajinga.Napata wasiwasi ya kuoa kutokana na haya ninayo yaona kila siku kwenye mtandao kuhusu maisha ya wana ndoa
Kila siku lazima nikutane na post ya watu kuachana wengine kufumaniana wengine kulea watoto ambao sio wao
Dah sijui tukimbilie wapi sisi kutafuta wanawake tutakao dumu nao
π π π π π π πHivi timu LGBTQ mbona mnajidhihirisha kabisa jinsi gani hamna akili?
Ukioa au usipooa lazima ututangazie?
Kama mm aisee ninahofu balaa mpwa sijui naogopa kulala bila nguo πππWikiendi iliyopita nimeshuhudia harusi 4. Hii ina maana kuwa watu bado wanaoa.
Usitishwe na utopolo wa mitandaoni humu ambamo kila mtu yuko huru kujiandikia cho chote anachotaka hata kama ni uwongo...
Kabla sijacomment kwenye huu Uzi, nilikuwa naangalia kama hujapita. Threads za hivi huwa hazikupiti mkuu π π πwasiwasi ndiyo akili, safi sana
Hawa wa saiz hawana utu na utulivu, hata alikiba aliimba utu&utulivu lakn mke wake akamkimbiaMoja: Omba Mungu akupe mwanamke mwenye utu na utulivu pia awe na hofu ya Mungu...
Barikiwa sanaMoja: Omba Mungu akupe mwanamke mwenye utu na utulivu pia awe na hofu ya Mungu...
kwisha dawa imemuingia vilivyo, anafanya maamuzi sahihi kabisa, hatojutiaKabla sijacomment kwenye huu Uzi, nilikuwa naangalia kama hujapita. Threads za hivi huwa hazikupiti mkuu π π π
Muongezee volume kidogo, hajaskiaKama unaendeshwa na mitandao utazeeka bila kuoa
Humu mambo mengine ni ya kuyaangalia tu kama yalivyo na kuyaacha likiwepo hilo la kutokuoa wakati mtaaani kila siku watu wanaoelewa na kuoaKweli alafu humu watu waongo sana mtu Leo anathraed kataa ndoa na anasema haoi kesho anasahau anaomba ushauri mkewe kaenda kijijin hajarudi
Mimi hapa ninakadi Tatu za harusi πHumu mambo mengine ni ya kuyaangalia tu kama yalivyo na kuyaacha likiwepo hilo la kutokuoa wakati mtaaani kila siku watu wanaoelewa na kuoa