M Mr. madevu JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 432 Reaction score 75 Dec 16, 2014 #1 Kuna mtu ananiuzia gari aina toyota carib. Iko kweli hali nzuri sana tu. Ila hofu yangu ni juu ya spare pamoja na ulaji wa mafuta wa hii gari, je ni economy? Na je inafaa kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani?
Kuna mtu ananiuzia gari aina toyota carib. Iko kweli hali nzuri sana tu. Ila hofu yangu ni juu ya spare pamoja na ulaji wa mafuta wa hii gari, je ni economy? Na je inafaa kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani?