Ndg nipo hapa kuomba ufafanuzi juu ya hawa ALIBABA..
1.hasa ni watu gani wanafanya nao biasha(kwa kuzingatia mtaji?)..
2.je kwa namna wanavyouza reja reja bidhaa zao zitanilipa nikichukua?
1. Alibaba wanafanya biashara na wachuuzi na wateja wa rejareja. Ukitaka kufanya manunuzi ya reja reja kama mteja wa kawaida then unaenda Aliexpress ukitaka kufanya manunuzi ya jumla unakwenda alibaba.
2. Mzigo unalipiwa online kwa njia ya bank, au other means kama PayPal na kadhalika....